Wednesday, January 10, 2007

Wasifu wa Kornel


Nyasigo Kornel ni mwandishi maarufu na amewahi kuandika katika magazeti mbalimbali ya ndani na nje ya nchi kama RAI, Mtanzania, The African, The Guardian, The Private Eyes na The People.

Ameandika vitabu vitatu
‘Jasho la Wahanga’ –Riwaya,
‘Three languages for the beginners’ na
‘The Games Christians Play’.


Amewahi kufanya kazi kama Afisa Uhusiano katika Shirika la Utafiti wa Tiba na Afya inayojulikana kama ‘Ifakara Health Research and Development Center (IHRDC)’. Amewahi kufundisha kama mkufunzi katika Chuo cha Ualimu Chang’ombe, Chuo cha Ualimu Tarime, Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Musoma na Shule ya Sekondari ya kutwa ya Katuru- Shirati.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home