Wednesday, January 10, 2007

Nyasigo Kornel






Nyasigo Emmanuel Kornel (Journalist)
(Makala haya yamechapishwa katika matoleo ya magazeti ya
RAI, MTANZANIA, THE AFRICAN, THE GUARDIAN,
THIS DAY,
THE PEOPLE na THE PRIVATE EYES
- Magazeti ya ndani na nje ya nchi).



Makala kwa lugha ya Kiswahili
1. Tunaendela kusali ibada za kikoloni
18. Why modern educated Young African Youth don’t believe the Bible
19. Rorya weeps over the loss of its grandeur
20. Girls, potential engineers, just hate the stains
21. Halima, the youngest MP
22. Journalist finds exclusive story back home
23. Cell phones: Blessing or curse to children in school?
24. The negative perception of Indian degrees in Tanzania
25. Roadside grown ‘mchicha’ reduces intelligence – Survey
26. DT Dobie excels in motoring industry

Ingia katika Blog ya William Shao

Makala mbalimbali

Labels:

Wasifu wa Kornel


Nyasigo Kornel ni mwandishi maarufu na amewahi kuandika katika magazeti mbalimbali ya ndani na nje ya nchi kama RAI, Mtanzania, The African, The Guardian, The Private Eyes na The People.

Ameandika vitabu vitatu
‘Jasho la Wahanga’ –Riwaya,
‘Three languages for the beginners’ na
‘The Games Christians Play’.


Amewahi kufanya kazi kama Afisa Uhusiano katika Shirika la Utafiti wa Tiba na Afya inayojulikana kama ‘Ifakara Health Research and Development Center (IHRDC)’. Amewahi kufundisha kama mkufunzi katika Chuo cha Ualimu Chang’ombe, Chuo cha Ualimu Tarime, Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Musoma na Shule ya Sekondari ya kutwa ya Katuru- Shirati.

Labels: